Ufafanuzi wa upendano katika Kiswahili

upendano

nominoPlural upendano

  • 1

    hali au namna ya kupendana.

Matamshi

upendano

/upɛndanɔ/