Ufafanuzi wa upendo katika Kiswahili

upendo

nominoPlural upendo

  • 1

    hali ya kuvutiwa au kuingiwa moyoni na mtu au kitu.

Matamshi

upendo

/upɛndɔ/