Ufafanuzi msingi wa upenyenye katika Kiswahili

: upenyenye1upenyenye2

upenyenye1

nominoPlural penyenye

Matamshi

upenyenye

/upɛɲɛɲɛ/

Ufafanuzi msingi wa upenyenye katika Kiswahili

: upenyenye1upenyenye2

upenyenye2

nominoPlural penyenye

  • 1

    sehemu ndogo sana ambapo kitu kingine kinaweza kupenya na kupita.

Matamshi

upenyenye

/upɛɲɛɲɛ/