Ufafanuzi wa upenyo katika Kiswahili

upenyo

nominoPlural penyo

  • 1

    hali au namna ya kupenya.

  • 2

    nafasi ya kupenya.

    mwanya

Matamshi

upenyo

/upɛɲɔ/