Ufafanuzi wa upepea katika Kiswahili

upepea, mpepea

nominoPlural pepea

  • 1

    mvua inayoingia ndani ya nyumba, agh. kwa kupitia dirishani kwa sababu ya upepo.

Matamshi

upepea

/upɛpɛja/