Ufafanuzi wa upera katika Kiswahili

upera

nomino

  • 1

    mmea unaotoa kamba za kufungia kitovu cha mtoto anapozaliwa.

Matamshi

upera

/upɛra/