Ufafanuzi wa upiganiaji katika Kiswahili

upiganiaji

nominoPlural upiganiaji

  • 1

    namna ya kupigania mtu, kitu au jambo fulani.

Matamshi

upiganiaji

/upiganijaʄi/