Ufafanuzi wa upinde katika Kiswahili

upinde

nominoPlural pinde

 • 1

  silaha iliyotengenezwa kwa kupinda ujiti na kuunganisha ncha zake kwa kamba k.v. ya ngozi au katani na hutumiwa pamoja na mshale.

  uta, mata

 • 2

  ala inayotumiwa kupigia vayolini.

 • 3

  kitu chochote chenye sura hiyo.

  ‘Upinde wa mvua’

Matamshi

upinde

/upindÉ›/