Ufafanuzi wa upindo katika Kiswahili

upindo

nominoPlural pindo

  • 1

    ukunjo wa sehemu ya mwisho wa nguo.

  • 2

    ala inayotumiwa kupigia vayolini.

  • 3

    nguo kama shuka inayotumiwa kwa kutandia dagaa.

Matamshi

upindo

/upindɔ/