Ufafanuzi wa upofu katika Kiswahili

upofu

nominoPlural upofu

  • 1

    ugonjwa au hali ya kupofuka.

Matamshi

upofu

/upɔfu/