Ufafanuzi wa upondo katika Kiswahili

upondo

nomino

  • 1

    mti mrefu unaotumika kuendeshea chombo majini.

  • 2

    wenzo unaotumika kwa kurukia juu.

Matamshi

upondo

/upɔndɔ/