Ufafanuzi wa uposaji katika Kiswahili

uposaji

nomino

  • 1

    utaratibu wa upelekaji maombi ya kutaka kuoa kwa wazazi wa binti anayetarajiwa kuolewa.

Matamshi

uposaji

/upɔsaʄi/