Ufafanuzi wa upote katika Kiswahili

upote

nomino

  • 1

    kamba iliyoko katika upinde; ugwe wa upinde.

Matamshi

upote

/upɔtɛ/