Ufafanuzi wa upotevu katika Kiswahili

upotevu

nominoPlural upotevu

  • 1

    hali ya kuharibika kwa tabia, hasa kwa kukiuka itikadi za dini.

  • 2

    hali ya kupotea.

Matamshi

upotevu

/upɔtɛvu/