Ufafanuzi wa upurukushani katika Kiswahili

upurukushani

nominoPlural upurukushani

  • 1

    hali ya kutozingatia yale ambayo mtu anatakiwa ayafanye.

Matamshi

upurukushani

/upuruku∫ani/