Ufafanuzi wa upya katika Kiswahili

upya

nominoPlural upya

  • 1

    hali ya kile kilicho kipya au kigeni; hali ya kutokuwa ya zamani; kinyume cha ukuukuu.

Matamshi

upya

/upja/