Ufafanuzi wa uraia katika Kiswahili

uraia

nominoPlural uraia

  • 1

    hali ya kuwa raia.

  • 2

    somo lifundishwalo shuleni kuhusu uchumi na siasa ya nchi.

Asili

Kar

Matamshi

uraia

/uraIa/