Ufafanuzi wa uroho katika Kiswahili

uroho

nominoPlural uroho

  • 1

    tabia ya kuwa na tamaa ya vitu na kutaka kupata kwa wingi zaidi kuliko wengine.

    ulafi, umero

Matamshi

uroho

/urɔhɔ/