Ufafanuzi msingi wa uru katika Kiswahili

: uru1uru2

uru1

nominoPlural uru, Plural mauru

  • 1

    karata za kucheza zenye ng’anda mfano wa pembe nne na rangi nyekundu.

Asili

Kre

Matamshi

uru

/uru/

Ufafanuzi msingi wa uru katika Kiswahili

: uru1uru2

uru2

nominoPlural uru, Plural mauru

Matamshi

uru

/uru/