Ufafanuzi wa urujuani katika Kiswahili

urujuani

nomino

  • 1

    rangi ya zambarau isiyokoza.

Asili

Kaj

Matamshi

urujuani

/uruʄuwani/