Ufafanuzi wa usafirishaji katika Kiswahili

usafirishaji

nominoPlural usafirishaji

  • 1

    tendo la kupeleka watu au vitu toka mahali fulani kwenda mahali pengine kwa k.v. garimoshi, basi, ndege au ngamia.

Asili

Kar

Matamshi

usafirishaji

/usafiri∫aʄi/