Ufafanuzi wa usafishaji katika Kiswahili

usafishaji

nominoPlural usafishaji

  • 1

    tendo la kuondoa uchafu katika kitu ili kiwe safi.

    mwosho

Asili

Kaj

Matamshi

usafishaji

/usafi∫aʄi/