Ufafanuzi wa usahaulifu katika Kiswahili

usahaulifu

nominoPlural usahaulifu

  • 1

    tabia ya kutokumbuka mambo.

    mghafala, chechele

Asili

Kar

Matamshi

usahaulifu

/usahawulifu/