Ufafanuzi wa usambazaji katika Kiswahili

usambazaji

nomino

  • 1

    hali ya kueneza vitu au huduma k.v. maji, umeme au mawasiliano.

Matamshi

usambazaji

/usambazaŹ„i/