Ufafanuzi wa usana katika Kiswahili

usana, usani

nominoPlural usana

  • 1

    kazi, namna au jinsi ya kufua vyombo vya chuma.

    uhunzi

Matamshi

usana

/usana/