Ufafanuzi wa usasa katika Kiswahili

usasa

nomino

  • 1

    hali ya kufanya kitu kwa kuzingatia mbadiliko ya wakati uliopo.

Matamshi

usasa

/usasa/