Ufafanuzi wa usemaji katika Kiswahili

usemaji

nomino

  • 1

    namna au jinsi ya kusema.

    uambaji, usemi

Matamshi

usemaji

/usɛmaʄi/