Ufafanuzi wa usengenyaji katika Kiswahili

usengenyaji

nominoPlural usengenyaji

  • 1

    namna au jinsi ya kumsema mtu kwa vibaya wakati mwenyewe hayupo.

Matamshi

usengenyaji

/usɛngɛɲaʄi/