Ufafanuzi wa ushahidi katika Kiswahili

ushahidi

nomino

  • 1

    tendo la kuona au maneno ya kuhakikisha kwa kueleza yaliyokuwa yakitendeka.

    ‘Toa ushahidi mahakamani’
    uthibitisho, bayana, hakikisho, ikirari, ushuhuda, ithibati

Asili

Kar

Matamshi

ushahidi

/uāˆ«ahidi/