Ufafanuzi wa ushambuliaji katika Kiswahili

ushambuliaji

nominoPlural ushambuliaji

  • 1

    hali ya kupiga mtu agh. adui kwa kutumia kitu k.v. ngumi, fimbo, n.k..

Matamshi

ushambuliaji

/u∫ambulijaʄi/