Ufafanuzi wa ushanga katika Kiswahili

ushanga

nominoPlural shanga

  • 1

    kitu cha kioo au kigae kinachofanana na gololi ndogo kilichotobolewa na agh. hutungwa katika kishazi.

  • 2

    mtungo wa shanga.

    useja

Matamshi

ushanga

/u∫anga/