Ufafanuzi wa usharika katika Kiswahili

usharika

nominoPlural sharika

Kidini
  • 1

    Kidini
    sehemu ndogo ya sinodi inayoongozwa na mchungaji na kujumuisha makanisa mbalimbali yanayoongozwa na Wainjilisti.

Asili

Kar

Matamshi

usharika

/u∫arika/