Ufafanuzi wa ushauri katika Kiswahili

ushauri

nominoPlural ushauri

  • 1

    maoni yanayotolewa kwa mtu ili yamsaidie kupata suluhisho fulani.

  • 2

    maelekezo ya kitaalamu yanayotolewa kwa mtu ili kumwezesha kufanya jambo fulani.

Matamshi

ushauri

/u∫awuri/