Ufafanuzi wa ushawishi katika Kiswahili

ushawishi

nomino

  • 1

    tendo au namna ya kumfanya mtu avutiwe na jambo fulani.

Matamshi

ushawishi

/u∫awi∫i/