Ufafanuzi wa ushindi katika Kiswahili

ushindi

nominoPlural ushindi

  • 1

    hali ya kushinda.

    futahi, fora

  • 2

    kisa kinachogombaniwa; kisa kinachoshindaniwa.

Matamshi

ushindi

/u∫indi/