Ufafanuzi wa ushindwaji katika Kiswahili

ushindwaji

nominoPlural ushindwaji

  • 1

    hali ya kutofanya vizuri au kutofanikiwa katika jambo k.v. mitihani au michezo.

    ushinde

Matamshi

ushindwaji

/u∫indwaʄi/