Ufafanuzi msingi wa ushoni katika Kiswahili

: ushoni1ushoni2

ushoni1

nominoPlural ushoni

  • 1

    kazi ya kushona.

  • 2

    ushonaji

Matamshi

ushoni

/u∫ɔni/

Ufafanuzi msingi wa ushoni katika Kiswahili

: ushoni1ushoni2

ushoni2

nominoPlural ushoni

  • 1

    gharama anayolipwa fundi mshoni.

Matamshi

ushoni

/u∫ɔni/