Ufafanuzi wa ushoroba katika Kiswahili

ushoroba

nomino

  • 1

    sehemu nyembamba katika nyumba au baina ya nyumba na nyumba.

    korido