Ufafanuzi wa ushujaa katika Kiswahili

ushujaa

nominoPlural ushujaa

  • 1

    hali ya moyo thabiti.

    uhodari, ujasiri, ushakii, ghamidha

Asili

Kar

Matamshi

ushujaa

/u∫uʄa:/