Ufafanuzi wa ushumbi katika Kiswahili

ushumbi

nominoPlural ushumbi

  • 1

    nguo inayotumika badala ya tanga katika chombo kidogo cha baharini k.v. mtumbwi.

    uberu

Matamshi

ushumbi

/u∫umbi/