Ufafanuzi msingi wa ushungi katika Kiswahili

: ushungi1ushungi2ushungi3

ushungi1

nominoPlural shungi

 • 1

  kitambaa kivaliwacho na wanawake kwa kufunika kichwa.

  dusumali

Matamshi

ushungi

/u∫ungi/

Ufafanuzi msingi wa ushungi katika Kiswahili

: ushungi1ushungi2ushungi3

ushungi2

nominoPlural shungi

 • 1

  nywele ndefu, manyoya au kitu chochote kinachojitokeza kwenye kichwa cha ndege au mtu.

Matamshi

ushungi

/u∫ungi/

Ufafanuzi msingi wa ushungi katika Kiswahili

: ushungi1ushungi2ushungi3

ushungi3

nominoPlural shungi

 • 1

  ngozi ya uume inayokatwa wakati wa kutahiriwa.

  govi

Matamshi

ushungi

/u∫ungi/