Ufafanuzi wa ushuru katika Kiswahili

ushuru

nominoPlural ushuru

  • 1

    malipo yatolewayo serikalini kwa kuingiza au kuuza bidhaa; ada ya forodha.

Asili

Kar

Matamshi

ushuru

/u∫uru/