Ufafanuzi wa usiku katika Kiswahili

usiku

nomino

  • 1

    kipindi cha siku baada ya kutua jua hadi alfajiri.

Matamshi

usiku

/usiku/