Ufafanuzi wa uskauti katika Kiswahili

uskauti

nomino

  • 1

    tendo au hali ya kufanya kazi ya skauti.

Matamshi

uskauti

/uskawuti/