Ufafanuzi wa uso katika Kiswahili

uso

nomino

  • 1

    sehemu ya mbele ya kichwa kuanzia kwenye paji hadi kidevuni.

    wajihi

  • 2

    sehemu ya mbele au ya juu ya kitu.

    ‘Uso wa ardhi’