Ufafanuzi wa usomi katika Kiswahili

usomi

nomino

  • 1

    hali ya kuwa na elimu kubwa agh. ya chuo kikuu.

Matamshi

usomi

/usɔmi/