Ufafanuzi wa usonara katika Kiswahili

usonara

nominoPlural usonara

  • 1

    kazi ya kutengeneza vitu vya mapambo k.v pete na mikufu kwa kutumia madini.

Matamshi

usonara

/usɔnara/