Ufafanuzi wa usono katika Kiswahili

usono

nominoPlural usono

  • 1

    namna au jinsi ya kupumzika.

    ‘Sina usono’

Matamshi

usono

/usɔnɔ/