Ufafanuzi wa ustawishaji katika Kiswahili

ustawishaji

nominoPlural ustawishaji

  • 1

    hali ya kuendeleza au kukuza kitu ili kiimarike au kiwe bora zaidi.

    ‘Ujenzi wa mji mkuu mpya unasimamiwa na Mamlaka ya ustawishaji Makao Makuu’

Asili

Kar

Matamshi

ustawishaji

/ustawi∫aʄi/