Ufafanuzi wa usubu katika Kiswahili

usubu

nominoPlural usubu

  • 1

    ugonjwa wa macho unaosambazwa na nzi weusi waishio karibu na mito kwa kuacha minyoo kwenye ngozi ya jicho.

Matamshi

usubu

/usubu/